Uongozi wa EX-CASFETA USHIRIKA unawataarifu wanachama wote kuwa zoezi la uteuzi wa Viongozi wa Kanda litaanza rasmi tarehe 30 Machi. Zoezi hili linalenga kupata viongozi watakaoratibu shughuli za EX-CASFETA katika kanda mbalimbali na kuendelea kuimarisha umoja, ushirika na huduma.